Operesheni dhidi ya kundi ka kigaidi la PKK Uturuki

Mapambano dhidi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi yaendelea Uturuki na nje ya mipaka yake

Operesheni dhidi ya kundi ka kigaidi la PKK Uturuki

Vita dhidi ya ugaidi inaendelea na juhudi za kuikomesha zinaendelea nchini Uturuki hata nje ya nchi.

Katika wilaya ya Tunceli Ovacik magaidi wawili wameuawa .

Huko wilaya Kandil napo, operesheni za anga dhidi ya magaidi zimeendeshwa na ndege za jeshi la Uturuki.

Ngome za kundi ya kigaidi la kigaidi linalopigania kujitenga na Uturuki, PKK, zimevamiwa na kuharibiwa.

Wakati huo huo, magaidi 68 waliuawa kati ya tarehe 28 Septemba na 4 Oktoba kwenye operesheni zinazotekelezwa na jeshi la Uturuki.


Tagi: ugaidi , PKK , Uturuki

Habari Zinazohusiana