Mauzo ya nje katika sekta ya magari yaongezeka kwa asilimia 60 barani Afrika

Mauzo ya nje kutoka Uturuki katika sekta ya magari yaongezeka kwa asilimia 60 barani Afrika

Mauzo ya nje katika sekta ya magari yaongezeka kwa asilimia 60 barani Afrika

Mauzo katika Sekta ya magari  kutoka Uturuki  kuelekea  barani Afrika yaongezeka kwa asilimia 60.

Mauzo ya n je katika sekta ya magari kutoka Uturuki kuelekea  katika mataifa ya bara la Afrika yaongezeka  kwa asilimia 60 wakati huo huo barani Ulaya  ikiwa asilimia 13.

Kulingana  na  takwimu  zilizotolewa na  shirika la   wafanyabiasha katika sekta ya magari (OİB), sekta ya magar ina vipandwa  imefikia  kiwango  cha dola  bilioni 2,9 Oktoba.

Kiwango hicho kimeongezeka kwa  asilimia 11 ikilingnishwa na kipindi kama hicho mwaka 2017.Habari Zinazohusiana