Niashati katika kipindi kipya

Kutoka katika chuo kikuu cha Yıldırım Beyazıt kitengo cha Sayansi za Siasa, Idara ya Uchumi Dr. Prof. Erdal Tanas KARAGÖL

Niashati  katika kipindi kipya

Azerbaijan na Uturuki zimechukua hatua mpya wiki iliyopita kwa kuanzisha mradi wa pamoja wa STAR.

hatua hiyo itasaidia katika Kuongeza thamani katika soko la dunia, hatua ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili

Kupitia ubia huo,mikakati ya thamani ya juu kama vile gesi asilia na mafuta vitaimarishwa na watendaji kama vile wa TANAP watachangia katika biashara ya kikanda ya nishati hiyo.

Mchango wa Uturuki katika kushuka kwa bidhaa ya dizeli ,mafuta na sasa akaunti nakisi vitatoa fursa kwa Uturuki kuimarisha nafasi yake katika soko la nishati na vilevile uwekezaji  ambao unachukuliwa kama hatua mwanzo ya zama mpya ya nishati.

Kutoka katika chuo kikuu cha Yıldırım Beyazıt kitengo cha Sayansi za Siasa, Idara ya Uchumi Dr. Prof. Erdal Tanas KARAGÖL anatoa tathmini 

Sehemu kubwa ya mafuta ghafi na bidhaa za petroli,ya Uturuki inatoka nje.Uturuki huagiza kutoka nje tani milioni 25 za mafuta ghafi kila mwaka. karibu tani milioni 18 tani ni petroleum.

STAR ni kiwanda cha kusafishia mafuta nchini Uturuki na kina uwezo wa kusafisha hadi asilimia 25 ya bidhaa zake za petroli.Hivyo mchakato huu utaiwezesha Uturuki kupunguza uagizaji wa bidha kama hizo kutoka nchi za nje.Hatua hiyo itapunguza kwa kiasi kikubwa uagizaji wa petroli kutoka nje.

Katika uwanja huu, ambayo ni moja ya vitu muhimu zaidi katika kupunguza matumizi ya sasa, ni muhimu kwa kimkakati kupunguza utegemezi wa vyanzo vya kigeni katika eneo hili lililofunikwa na bidhaa za petroli. Kutokana na hatua hii ya Star kusafishia tunahitaji kusisitiza kwamba mchango wa Uturuki katika uchumi ni muhimu sana.

Shukrani kwa mpango huu, upungufu wa biashara yetu ya kigeni itashuka karibu dola bilioni 1.5 kila mwaka na hii italeta umuhimu wa kupunguza matumizi ya fedha nje.. Kwa kuongeza, ni muhimu kuzingatia kwamba hatua hizo halisi zinakzidi kuwa muhi zaidi katika sera za kiuchumi.

Mpango huu, ambao utaongeza thamani katika kila hatua ya uzalishaji mafuta utaongeza ushindani kwa Uturuki katika soko la nishati duniani. Uturuki ,napashwa kuongeza kuongeza uzalishaji wa bidhaa zenye ubora, kupung matumizi na vilevile kuongeza miradi itakayoongeza nguvu katika uchumi wa nchi hiyo.Hatua hiyo inapashwa kuhamasishwa.

Leo rasilimali tajiri katika Bahari ya Kasp huko Azerbaijan inasaidia kujiongezea nafasi katika soko la Ulaya, sehemu yake ya kijiografia pia ni njia ya kuongeza fursa ya kibiashara na nchi hiyo ikishirikiana na Uturuki zitafika mbali hasa katika sekta ya uwekezaji na rasiliamali.

Ushirikiano kati ya Uturuki-Azerbaijan umeleta zao la Star.Jitihada zilizoonyeshwa na mataifa hayo mawili hasa katika suala zima la kusafisha mafuta utazisaidia nchi hizo kupiga hatua kubwa katika jukwaa la ulimwengu wa nishati.

Miradi na uwekezaji, ambazo ni bidhaa za mitazamo na sera za kawaida za nchi mbili katika uwanja huu, zielekeza masoko ya nishati ya kikanda na pia kuonyesha jukumu la wahusika wawili katika usalama wa usambazaji wa nishati hiyo.

Uturuk imekuwa kituo cha biashara ya nishati katika husika  nchi na kanda na hivyo kutoa huduma na ufanisi bora wa nishati katika maeneo mbalimbali yakiwemo maeneo katika nchi ya Azerbaijan kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.

Kwa hivyo, ni muhimu kusisitiza kuwa hatua hizi halisi zilizochukuliwa leo ni muhimu sana na zitaleta maendeleo makubwa.

Kutoka katika chuo kikuu cha Yıldırım Beyazıt kitengo cha Sayansi za Siasa, Idara ya Uchumi Dr. Prof. Erdal Tanas KARAGÖL ametoa tathmini yake juu ya suala hilo.Habari Zinazohusiana