Uturuki, Urusi na Iran zaafikiana kuacha kutumia sarafu  ya Marekani

Mkurugenzi mkuu wa benki  kuu nchini Iran  asema kuwa  Uturuki,  Iran na Urusi zimeafikiana kuacha kutumia sarafu ya Marekani

Uturuki, Urusi na Iran zaafikiana kuacha kutumia sarafu  ya Marekani

Mkurugenzi mkuu wa benki  kuu nchini Iran  Abdel Nasser Himmeti  asema kuwa  Uturuki,  Iran na Urusi zimeafikiana kuacha kutumia sarafu ya Marekani na badala yake kutumia za ndani katika biashara kati ya mataifa  hayo matatu ambayo  ni washirika.

Katika mkutano na waandishi  wa habariHimmeti amefahamisha kuwa katika siku  zijazo  viongozi katika benki kuu katika mataifa hayo  wataweka wazi kuhusu vipengele abavyo  vitazingatiwa  utekelezaji wa kuanza kutumia sarafu za ndani na sio sarafu ya Marekani Dola.

 Kurugenzi huyo amezungumzia  mkutano uliofanyika Septemba 7 kati ya rais wa Uturuki , Urusi na Iran kuhusu Syria mjini Tehran nchini Iran.Habari Zinazohusiana