Turkish Airlines kusitisha matangazo ya biashara  na mashirika ya Marekani

Turkish Airlines kusitisha matangazo ya biashara  na mashirika ya Marekani

Turkish Airlines kusitisha matangazo ya biashara  na mashirika ya Marekani

Kampeni iliopewa jina la "Hakuna matangazo ya biashara na Marekani"  ilioanzishwa na  mashirika ya Uturuki  kutokana na  vikwazo  vya kiuchumi vilivyotolewa na Marekani dhidi ya Uturuki  imeungwa mkono  na shirika la ndege la Uturuki la Turkish airlines (THY).

 Yahya  Ustun ameanzisha katrika mitandoa ya kijamii kampeni ambayo inatoa wito wa kuacha kufanya matangazo na Marekani kufuatia  uamuzi wa Marekani dhidi ya Uturuki. 

Kampeni hiyo  ni kwa lengo la  kuonesha ushirikiano na Uturuki .

Kampeni hiyo ya  (#ABDyeReklamVerme) ikiwa na maana  "Usifanyematangazo ya biashara na Marekani".Habari Zinazohusiana