Ushirikiano wa kibiashara kati ya Uturuki na India kufikia kiwango cha dola bilioni 10

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki asema kwamba ushirikiano wa kibiashara kati ya Uturuki na India  utafikia kiwango cha dola bilioni 10

Ushirikiano wa kibiashara kati ya Uturuki na India kufikia kiwango cha dola bilioni 10

 

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu asema kwamba ushirikiano wa kibiashara kati ya Uturuki na India  unatarajiwa kufikia  kiwango cha dola bilioni 10 ifikapo mwaka 2020.

Hayo waziri wa ambo ya nje wa Uturuki ameyazungumza  baada ya mkutano aliofanya na waziri  wa mambo ya nje wa India Singapore.

Mevlüt Çavuşoğlu ameshiriki katika mkutano wa 51 wa mawaziri wa mambo ya nje wa muungano wa ASEAN.

Katika mkutano huo  waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amesema kuwa  Uturuki  itaongeza kiwango cha pesa  katika ushirikiano wa kibiashara na India kwa kuwa anayo matumaini kuwa  ushirikiano huo utafikia kiwango cha dola bilioni  10 ifikapo mwaka 2020.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki alitoa ujumbe  kuhusu ushirikiano wa kibiashara katika ukurasa wake wa Twitter Ijumaa akifahamisha kuwa  mazungumzo na waziri wa mambo ya nje India  Vijay Kumar  Singh Singapore  yalikuwa na umuhimu katika ushirikiano bain aya Uturuki na India.

Mkutano wa ASEAN  uanfanyika  Singapore tangu Jumatano  huku mataifa kadhaa yakiwalikilshwa na wajumbe wake pamoja na wafanyabiashara wakubwa.Habari Zinazohusiana