Uzalishaji wa mafuta na Mashariki ya Kati

Uzalishaji wa mafuta na Mashariki ya Kati

Uzalishaji wa mafuta na Mashariki ya Kati

Uzalishaji wa mafuta na Mashariki ya Kati

Eneo la Mashariki ya Kati linafahamika kwa utajiri wake wa mafuta na uzalishaji wake ulimwenguni. Mafuta yamekuwa yakichimbwa katika eneo la Mashariki ya Kati kipindi cha miaka mingi iliopita. Kutokana na utajiri wake wa mafuta kumekuwa kukitokea migogoroa kila kukicha katika eneo la Mashariki ya Kati.

Mafuta yana umuhimu mkubwa katika uchumi wa eneo la  Masharik ya Kati na sio tu kwa eneo hilo pekee bali katika mataifa ambayo yana ushawishi na mataifa ya Mashariki ya Kati.

Hali inayoendelea nchini Iran ni baada ya rais wa Marekani Donald Trump kuzungumza katika kampeni zake  wakati uchaguzi ulipokaribi.

Rais wa Marekani aliahidi  wakati wa kampeni zake kuwa iwapo atachuguliwa kuwa rais  basi Marekani itaondoka Mashariki ya Kati .

Sera za nje za Marekani  na utawala wa Trump  Mashariki ya Kati  ni pamoja na matukio tofauti nchini Iran na kuitenga  na kuzdisha ukaribu na Israel, utawala wa Trump umekuwa na ukaribu mkubwa na Israel.

Masharti yote yalioweka katika  sekta ya uchumi  na sera za nje   usalama wake uliimarishwa.Habari Zinazohusiana