Uchumi wa Uturuki wazidi kuimarika

Uchumi wa Uturuki wazidi kuimarikwa na kukuwa kwa asilimia 7,4 katika kpindi cha miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2018

Uchumi wa Uturuki wazidi kuimarika

Sekta ya uchum nchini Uturuki yafahamisha kuwa kuna mabadiliko  makubwa ambayo yameshuhudiwa katika kipindi cha miezi mitatu mwanzoni mwa mwaka 2018.

Kilimo, viwanda, ujenzi ndizo sekta ambazo  zimechangia kwa kiasi kikubwa katika kuimarisha uchumi wa Uturuki katika kipindi cha miezi hiyo mitatu ya  kwanza ya mwaka 2018.

Uchumi umeimarika kafanya kipato kuongezeka kwa wanafanya biashara katika sekta ya uchukuzi, makaazi na chakula .

Kipato hicho kimefahamishwa kuongezeka kwa asilimia 10.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ametoa uumbe wa pongezi katika ukurasa wake wa Twitter  akipongeza sekta ya uchumi kwa mabadiliko hayo ambayo yanazidi kutoa matumaini kwa Uturuki.

Rais Erdoğan ameendelea kusema kuwa  licha ya  mashambulizi na mbinu kutoka huku na kule, uchumi wa Uturuki unandelea kuimarika.

 Habari Zinazohusiana