Mauzo ya nje zaongezeka nchini Uturuki mwezi Septemba

Mauzo ya nje ya uturuki yameongezeka kwa asilimia 8,67 kwa kipindi cha mwezi Septemba, ukilinganisha na kipindi kama hicho hicho cha mwaka wa 2016

Mauzo ya nje zaongezeka nchini Uturuki mwezi Septemba

Kulingana na takwimu za mauzo  za nje za Uturuki zilizotolewa na wizara ya biashara mnamo mwezi Septemba, mauzo ya nje ya nchi yapanda hadi kufikia dola bilioni 11,849, na mauzo ya ndani ya nchi yamefikia dola bilioni 19,993.

Waziri ametowa takwimu kuhusiana na biashara za Uturuki za mwezi wa Septemba.

Mauzo ya nje ya uturuki yameongezeka kwa asilimia 8,67 kwa kipindi cha mwezi Septemba, ukilinganisha na kipindi kama hicho hicho cha mwaka wa 2016, sawa na dola bilioni 11,849.

Mauzo ya ndani ya nchi yameongezeka kwa asimilia 30,67 hadi  dola bilioni 19,993.Habari Zinazohusiana