Waziri mkuu wa Uturuki asema kuwa kipato cha Uturuki chatarajiwa kuongezeka

Waziri mkuu wa Uturuki asema kuwa kipato cha taifa chatarajiwa kuongezeka mwaka 2018

Waziri mkuu wa Uturuki asema kuwa kipato cha Uturuki chatarajiwa kuongezeka

 

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldıtrım asema kuwa kiwango cha kipato cha Uturuki kinatarajiwa kuongezeka mwaka 2018

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım amesema kuwa kipato cha taifa kinatarajiwa kufitikia trilioni 4 ifikapo mwaka 2018.

Binali Yıuldırım  akishiriki katika  mkutano wa 4 wa chama tawala mkoani Kocaeli Kaskazini-Magharibi mwa Uturuki.

Waziri mkuu Yildirim amesema kuwa  kiwango cha taifa mwaka 2018  kinatarajiwa kufikia trilioni  4.Habari Zinazohusiana