Uchumi wa Uturuki wazidi kuimarika

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım afahamisha kuwa uchumi wazidi kuimarika

Uchumi wa Uturuki wazidi kuimarika

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım asema kuwa sekta ya uchumi yazidi kuimarika na kutoa matumaini.

Waziri mkuu wa Uturuki amethibitisha kuwa ardhi ya Uturuki itaendelea kusafishwa na uchafu wa ugaidi wa kundi la PKK na kuling oa moja kwa moja.

Viashirio vya uchumi nchini Uturuki vinaonekana kuwa katika hali ya kuridhisha huku Uturuki ikizidi kusonga mbele katika sekta ya uchumi.

Hayo waziri mkuu wa Uturuki aliyafahamisha katika hafla ilioandaliwa Jumatatu kwa ajili ya chakula cha jioni katika mfungo wa Ramadhani.

Binali Yıldırım alizungumzia pia kuhusu mabadiliko makubwa katika sekta ya uchumi tangu chama tawala AKP kuingia madarakani mwaka 2002.Habari Zinazohusiana