Afrika
TRT Katika Maoni
Maoni
Afrika
Aliyehukumiwa kifo Kenya asema kifungo chake ni cha ukatili
Kesi ya Joseph Irungu almaarufu Jowie ya mauaji nchini Kenya ilivutia hisia tofauti nchini humo. Alikutwa na hatia ya mauaji ya Monica Kimani, ambaye aliuawa kikatili katika nyumba yake ya Lamuria Gardens jijini Nairobi usiku wa Septemba 19, 2018.Afrika
Maamuzi ya Moderna yakihuzunisha Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Barani Afrika
Baada ya kampuni ya Moderna kusema kuwa hakitojenga kiwanda cha chanjo nchini Kenya, Africa CDC imesema kuwa hatua hiyo inaonesha dhamira ya Moderna kushindwa kufikia upatikanaji wa chanjo kwa wote kupitia utengenezaji wa viwanda barani Afrika.Türkiye