Türkiye
TRT Katika Maoni
Maoni
Türkiye
Japan yatangaza kufungia mali za kundi la kigaidi la PKK
Hitoshi Matsubara wa Chama cha Liberal Democratic ameibua wasiwasi juu ya shughuli za PKK nchini Japan, akisukuma baraza la wawakilishi kuchukua hatua dhidi ya kundi la kigaidi linalopinga Ankara, ripoti ya vyombo vya habari vya Uturuki.Ulimwengu
Wapalestina waadhimisha miaka 76 ya Nakba huku kukiwa na janga jipya Gaza
"Nakba," ni neno la kiarabu linalomaanisha "janga." Takriban Wapalestina 700,000 walifukuzwa kwa nguvu kutoka makwao kabla na wakati wa vita vya Waarabu na Israeli vya mwaka wa 1948 na kusababisha kuanzishwa kwa nchi ya Israeli.Ulimwengu