Huduma ya taxi za angani kuanza nchini Australia

Hudumu ya taxi za angani  yatarajiwa kaunza nchini Austarlia  miaka mitano ijayo

Huduma ya taxi za angani kuanza nchini Australia


Hudumu ya taxi za angani  yatarajiwa kaunza nchini Austarlia  miaka mitano ijayo.

Mamlaka ya safari za anga nchini Australia CASA  imefahamisha kuwa mradi wake wa  kuanza hudumu ya taxi za angani unakaribia kukamilika .

CASA imesema kuwa kampuni ambayo inasimamia mradi huo imesema kuwa  huduma ya texi za angani itakamilika baada ya miaka mitano.

Vyombo vya habari  nchini Australia  vimesema kuwa shirika hilo  litakuwa likitoa huduma hiyo ya texi za angani kwa bei  nafuu pindi mradi huo utakapokamilika mika mitano ijayo.

Peter Gibson, msemaji wa CASA amethibitisha kuwa  mradi huo unatarajiwa kukamilishwa baada ya miaka 5.Habari Zinazohusiana