Uturuki yajaribu kombora lake lenye mwendo kasi zaidi ya sauti

Uturuki yajaribu kombora lake la mwendo  kasi kuliko suati kwa mafaanikio

Uturuki yajaribu kombora lake lenye mwendo kasi zaidi ya sauti
Uturuki yajaribu kombora lake la mwendo  kasi kuliko suati kwa mafaanikio
Uturuki yajaribu kombora lake la mwendo kasi kuliko suati kwa mafaanikio

Uturuki yajaribu kombora lake la mwendo  kasi kuliko suati kwa mafaanikio.

Uturuki yajaribu kombora lake la mwendo  kasi kuliko suati kwa mafaanikio

Uturuki yajaribu kwa mafaanikio kombora lake la mwendo kasi  kuliko suati ikiwa  hatua kubwa katika  historia ya ulinzi Uturuki. Mafaanikio makubwa yameshuhudiwa katika kituo cha Habras  ambachıo kimezinduliwa na rais Erdoğan Oktoba 31 mkoani Konya nchini Uturuki.

Kituo hicho  kiliundwa na TUBITAK.

Waziri wa viwanda na teknolojia wa Uturuki emhudhuria katika hafla ilioeandaliwa kwa ajili ya majaribio.

Kombora hilo  MK -84lina uzito wa tani moja likiwa katika kifaa chake cha  usafiri.

Kombora hilo  lina mwendo kasi wa zaidi ya 1,5 kuliko  mwendo wa sauti  na lina uwezo wa kushambulia na kutoboa ukuta wa zege wa upana wa mita 1.

Waziri wa viwanda na teknolojia wa Uturuki amesema kuwa na hatua kubwa katika historia ya jeshi la Uturuki.

 

 

Maelezo ya video

Uturuki yajaribu kombora lake la mwendo kasi kuliko suati kwa mafaanikio Hatua kubwa katika historia  Kituo cha majaribio ya mfumo na vifaa vya ulinzi kimejaribu komora lake la HABRAS. Kituo hicho kiliandaliwa kwa ajili ya majaribio  ya makombora na uhimili wake. Urefu wake eneo lake Konya ni kilomita 2  ni eneo kubwa Ulaya lenye reli mbili kwa ajili ya majaribio. Rais Erdoğan alishirika katika uzinduzi wa kituo hicho Oktoba 31. "Na HABRAS iliotamatisha mradi wake kwa muda mfupi  kwa kutumia malighafi za Uturuki, Uturuki haiwezi tu kufanya majaribio  yake bali  Waziri wa viwanda na teknolojia Mustafa Varank ameshiriki pia  katika hafla hiyo ya majaribio ya kombora hilo. Majaribio hayo ymefanyika na kombora la MK-84 lenye uzito wa tani moja likiwa katika kifaa chake cha  usafiri. Kwa saa kilomita 850. Kombora hilo  lina mwendo kasi wa zaidi ya 1,5 kuliko  mwendo wa sauti na lina uwezo wa kushambulia na kutoboa ukuta wa zege wa upana wa mita 1. Waziri wa teknolojia na viwanda  Varank ameandika katika kusara zake katika mitandoa ya kijamii "Ni hatua kubwa katika historia  ya ulinzi katika viwanda vya vifaa vya jeshi Uturuki" HABRAS imefaanikisha majaribio ambayo yalikuwa yakigharibu kiwango kikubwa cha pesa ugenini sasa majaribio yamefanyika katika ardhi ya Uturuki Mataifa machache pekee kama Marekani, Ufaransa na Ujerumani ndio yalikuwa  yakimiliki mfumo wa HABRAS

 

 Habari Zinazohusiana