Majaribio ya helikopta "Made In Turkey"

Majaribio ya helikopta ya Uturuki

Majaribio ya helikopta "Made In Turkey"

Majaribio ya injini ya helikopta ya kwanza ya Uturuki yameanza na kuonesha matumaini. 

Helikopta aina ya T-625 ambayo imetengenezwa kwa asilimia 100  Uturuki  inatarajiwa kujaribiwa ifikapo Septemba 6.

Septemba 6 helikopta hiyo itajaribu safari yake ya kwanza.

Helikopta hiyo imetengenezwa ikizingatia hali ya hewa  na majira  tofauti. 

Mali ghafi za Uturuki zimetumika ili kufaanikisha mradi wa ujenzi wa helikopta hiyo.

Helikopta hiyo itakuwa ikitumiwa katika ufasiri, matukio ya dharura kwa kutoa msaada.Habari Zinazohusiana