Ndege zisizokuwa na rubani za Uturuki
Ndege zaisizokuwa na rubani ambazo hutumiwa kama silaha hutumiwa pia katika harakati za kupambana na ugaidi

Ndege zaisizokuwa na rubani ambazo hutumiwa kama silaha hutumiwa pia katika harakati za kupambana na ugaidi. Uturuki inahitaji kununua ndege hizo kutoka Marekani.
Uturuki kwa sasa imefikia atua ya kijiundia ndege zake zisizokuwa na rubani ambazo zinajulikana kama Alpagu na Kargu .
Tutajadili kuhusu suala hilo na uongozi wa mkurugenzi wa mafunzoHarb Is Tarkan Zengin....
Katika miaka kadhaa iliopita tunashuhudia mabadiliko makubwa katika sekta ya ulinzi nchini Uturuki. Uturuki imeweza kijiundia vifaa vipya ikiwemo silaha za kisasa kwa lengo la kujidhatiti katika sekta yake ya ulinzi.
Ndege zisizokuwa na rubani ambazo hapo awali ziliundwa kwa ajili ya kubeba kamera wakati wa uataarishwaji wa filamu ndege hizo kwa sasa zinatumiwa kwa matumizi tofauti.
Kwa sasa Uturuki hutumia ndege hizo pia katika harakati za kupambana na ugaidi katika operesheni tofauti ambazo huendeshwa na jeshi la taifa la kulinda usalama.
Uturuki na Marekani katika ushirikiano ni wazi kuwa ni washirika muhimu katika harakati za kupambana dhidi ya ugaidi. Ushirikiano uliopo ni ushirikiano wa kimkakati.
Uturuki kwa sasa imefikia hatua ya kujiundia ndege zake zisizokuwa na rubani. Uturuki imetumia ujuzi na teknolojia yake katika kufaanikisha uundaji wa ndege hizo. Ni hatua kubwa katika uzalishaji wa vifaa vya kivita vya teknoloji ya kisasa. Kabla ya kuanza uzalishaji wake ndege hizo tayari kumekwishatolewa maombi .
Jambo hilo linaashiria kuwa ni hautua ya ushindi na ufanisi katika sek ta hiyo Uturuki. Uturuki ipo miongoni mwa mataifa matatu ambayo hujiundia ndege zao zisizokuwa na rubani kwa matumizi ya kijeshi. Ndege hizoa za İHA ni hatua kubwa katika teknolojia Uturuki. Teknolojia katika sekta ya ulinzi nchini Uturuki imepiga hatua yake kwa kuwa sasa Uturuki imefikia kujşundia ndege zake zisizokuwa na rubani.
Jeshi la anga la Uturuki limefahamisha kuwa ndege hizo za kşzazi kimya katka ulinzi ni atua mpya iliopigwa na jeshi la Uturuki. Mabadiliko yake yamefanyika kwa lengo la kuimarisha usalama.
Tukizungumzai kuhusu vifaa vya STM na utangezajş wa silaha ambazo ni ALPAGU , TOAGAN na vifaa vingine. Tunazungumzia kştengo kinachohusika na teknolojia ya kisasa katika ulinzi . Jeshi la Uturuki na wahandisi wake na wanasayansi katika kştengo kinachohusika na ulinzi wa majini SSM, ufundi , ufuatiliaji wa miradi kunaundwa tume ambazo zinasimamia ufanisi na kuhakiksha kuwa malengo yake yanakamilika.
Ndege za kwanza ambazo hazina rubadi za Uturuki zilitumiwa katika ulinzi zilitolewa kwa mara ya kwanza Novemba mwaka 2017 na jeshi la wanamaji la Uturuki İHA Kargu.
Ndege hizo zilitumiwa katika operesheni ya tawi la mzaituni ilioendeshwa na jeshi la Uturuki . Operesheni hiyo iliendeshwa kwa lengo la kuwaondoa magaidi wa kundi la PKK katika mipaka ya Uturuki. Ndege hiyo ililipua gari ambalo lililkuwa likitumiwa na magaidi kuendesha mashambulizi.
Katika eneo ala umbali wa kilomita 5 ambapo magaidi walikuwa wamekita kambi kulishambuliwa. Baada ya operesheni ya Afrin imekuwa tishio kwa magaidi Kandil.
ALPAGU (Ndege ya mashambulizi yenye mabawa yalionyooka )
Ndege zisiozokuwa na rubani kwa s asa zimekuwa na mchango mkubwa kwas asa katika operesheni ambazo zinaendesha dhidi ya makundi ya kigaidi. ALPAGU ina maana kuwa « mlinzi anaemshambulia adui ipasavyo » na bila usaidizi wowote ule. Ndege hizo zina uwezo wa kuendesha dhidi ya ngome za maadui na kuwaangamiza.
Moja ya vigezo vya kiufundi vya ndege hizo ni pamoja na: wakati wowote adui anapoonekana inaweza kushambulia na kuhakikisha kuwa adui ameangamizwa.
Ndege hizo ambazo ni za kisasa katika sekta ya ulinzi zimewekwa vifaa ambavyo vina umwezo wa kukabiliana na hali ya hewa kwa wakati wowote. Zina uwezo wa kujibadilisha kutokana na eneo ambalo kunatarajiwa kuendeshwa mashambulizi.
KARGU (ndege ya mashambulizi yenye mabawa yenye kuzunguka)
Kargu tunaweza kufahamisha kuwa maana yake ni kuangaza mbali hata katika milima. Muundo wake umeshabihishwa na ndege ya kuwinda inayatambulika vema na wawindaji.
Ndege hiyo huitwa pia ndege ya kujştoa muhanga , ndege hiyo mabawa yake yana uwezo wa kujibadilisha . Mafundi katika shirika la STM wanafahamisha kuwa vigezo vya ndege hizo ni uwezo wa kiajabu ulionazo wakati zipo katika operesheni na kuwa kwake huru hata katika umbali mkubwa. Mfumo huo wa kuweza kujibadilisha . ndege hiyo ya kargu ina uwezo wa kuendesha operesheni zake hata usiku. Ikiwa na sialaha tofauti ina uwezo pia wa kujielekeza na kushambulia kunakostahili. Ikiwa haina uwezo wa kulipua, ina uwezo kushambulia katika umbali unaofahamika.
TOGAN (Mfumo wa ndege yenye mabawa yenyekuzunguka)
Ndege hizo zina uwezo wa kujipenyeza katik maeneo yenye upeno mdogo na kushambulia hata katilka ma mahandaki. Mashambulizi yake hulenga ngome za magaidi. Alpagu na Kargu hujitaarisha kuanza kuruka kwa muda usiozidi dakika moja. Ikiwa na mwendo kasi wa kilomita 120 hadi 140 kwa saa ndege hizo zina uwezo wa kuanza kuruka. Zina uwezo wa kushambulia katika eneo la zaidi ya mita20 za mraba.
Kutokana na mabadiliko na teknolojia ya kisasa katika sekta ya ulinzi Uturuki, jeshi la Uturuki ni tishio kwa makundi ya kigaidi.