Uturuki yazidi kuimarisha  sekta yake ya ulinzi

Uturuki yazidi kuimarisha sekta yake ya ulinzi kwa kuunda silaha zake

Uturuki yazidi kuimarisha  sekta yake ya ulinzi

Uturuki  imetumia silaha zake iliojiundia yenyewe  katika operesheni yake dhidi ya ugaidi ilioendeshwa nchini Syria.

Maendeleo ya teknolojia  katika sekta ya ulinzi yametoa manufaa katika  Ukanda  na kuifanya Uturuki kuwa taifa la kwanza  kwa kuuza nje silaha.

Uturuki imeongeza juhudi zake katika utengezaji wa silaha  baada ya kuwekeza  katika idara ya ulinzi.  Uturuki imeongeza ufanisi wake kataika utengezaji wa silaha kwa ajili ya  kuhakikisha usalama katika mipaka yake. Uturuki imekuwa moja  miongoni mwa mataifa yanayouza silaha ikiwemo silaha nzito ugenini.


Tagi: Uturuki , ulinzi

Habari Zinazohusiana