Mradi mpya  katika idara ya ulinzi  ya Uturuki

Baada ya kuunda ndege zisizokuwa na rubani jeshi la Uturuki lataraji kutengeneza vifaru visivyokuwa na  dereva

Mradi mpya  katika idara ya ulinzi  ya Uturuki

Baada ya kuunda ndege zisizokuwa na rubani jeshi la Uturuki lataraji kutengeneza vifaru visivyokuwa na  dereva

Jeshi la Uturuki linataraji kutengeneza vifaru ambavyo vitakuwa havina dereva , mradi mpya wa idara ya ulinzi ya Uturuki baada ya kufaulu kujiundia ndege  zake zisizokuwa na rubani.

Naibu  katibu  katika ofisi ya idara ya ulinzi inayohusika na masuala ya teknolojia  amenza mradi hup baada ya rais Erdoğan   kupendekeza jambo hilo  wiki iliopita katika mkutano wa 11  kuhusu maendeleo uliofanyika  mjini Ankara.

Tagi: jeshi , Uturuki

Habari Zinazohusiana