Paka,mnyama aliyegundulika kuwa na kumbukumbu kali

Huenda paka akawa mnyama muhimu na mwenye kumkumbu kali kama vile alivyo mbwa.

Paka,mnyama aliyegundulika kuwa na kumbukumbu kali

Huenda paka akawa mnyama muhimu na mwenye kumkumbu kali kama vile alivyo mbwa.

Utafiti uliofanywa na chuo cha Kyoto nchini Japan umeonyesha kuwa kuna uwezekano wa paka kuwa na kumbukumbu kama mbwa.

Kwa mujibu wa hbari,paka ana uwezo wa kukumbuka jambo kwa zaidi ya dakika kumi na tano.

Vilevile utafiti ulifanywa kwa kumuuliza paka maswali kama ''wapi'' na ''nini'' ambayo aliyajibu bila makosa yoyote.

Wanasayansi na watafiti katika chuo hicho Japan wanaamini kuwa huenda watu wakashangazwa na uwezo paka walionao hasa katika kumbukumbu kama vile walivyo mbwa.

Tagi: mbwa , paka

Habari Zinazohusiana