Kiwanda cha robot Uturuki

Kampuni ya kutengeneza robot kama binadamu imeanzishwa Konya nchini Uturuki

Kiwanda cha robot Uturuki

Kampuni ya kutengeneza robot kama binadamu imeanzishwa Konya nchini Uturuki.

Kwa mujibu wa habari,kampuni hiyo imevutia watazamaji na wakazi kwa kiwangi kikubwa.

Robot za humanoid yani zenye umbo kama la binadamu zimeanza kutengenezwa katika kiwanda hicho.

Ripoti zinaonyesha kuwa siku za mbeleni robot hizo zitaanza kusaidia katika kazi za ndani.

Zimetengenezwa kwa nia ya kusaidia katika maisha ya kila siku.

 


Tagi: Uturuki , robot

Habari Zinazohusiana