Sean Penn mjini Istanbuli kwa ajili ya makala maalumu kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi

Muigizaji nyota kutoka Marekani Sean Penn awasili mjini Istanbul kwa ajili ya mataarisho ya makala maalumu kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi

sean penn kasikci belgeseli1.jpg

Muigizaji nyota kutoka Marekani Sean Penn awasili mjini Istanbul kwa ajili ya mataarisho ya makala maalumu kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi.

Muigizaji nyota kutoka Marekani Sean Penn awasili mjini Istanbul nchini Uturuki kwa ajili ya mataarisho ya makala maalumu kuhusu mauaji ya mwanahabari wa Saudia  Jamal Khashoggi katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul Oktoba 2.

Muingizaj huyo alionekana akizunguka  na wasaidizi wake  jengo la ubalozi mdogo wa Saudia  mjini Istanbul ambapo inafahamishwa kuwa nyota hyo wa filamu  yupo katika mataarisha ya makala maalumu kuhusu mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi.

Sean Penn  alijelekeza katika ubalozi huo mdogo wa Saudia akiwa na watu 10  wakiwemo walinzi wake. Baada ya kuvuka vizuizi vya Polisi ktika ubalozi wa Saudia Istanbul alisogea na kuchukuwa picha.

Ikumbukwe kuwa Jamal Khashoggi aliuawa alipoingia katika ubalozi mdogo wa Saudia  Oktoba 2.

 

 Habari Zinazohusiana