Zaidi ya watalii milioni 10 wataemebelea Antalya Uturuki

Zaidi ya watalii milioni 10 watembelea  mjini wa Antalya mwaka 2018

Zaidi  ya watalii milioni 10 wataemebelea Antalya Uturuki

Zaidi ya watalii milioni 10 wametembelea mji  wa Antalia katika  msimu wa kiangazi mwaka 2018.

Kulingana na taarifa zilizotolewa na uongozi wa  wa mkoa wa Antalya unaosimamia utamaduni na utalii, watu zaidi ya 920 391 wametembelea  mji wa Antalya  kuanzia Septemba mosi hadi  Septemba 14 nwaka 2018.

Idadi ya watalii mkoani Antalya  imeongezeka kwa asilimia 23 ikilinganishwa na mwaka  uliopita.

 

 

 Habari Zinazohusiana