Mwanamfalme wa Japan Akiko Mikasa akiwa katika ziara nchini Uturuki

Akiko Mikasa, mwanamflame wa Japan apokelewa na rais wa Uturuki  akiwa katika ziara yake nchini Uturuki

Mwanamfalme wa Japan Akiko Mikasa akiwa katika ziara nchini Uturuki

Akiko Mikkasa, mwanamflame wa Japan apokelewa na rais wa Uturuki  akiwa katika ziara yake nchini Uturuki.

Mwanamfalme wa Japani Akiko Mikasa amefanya ziara nchini Uturuki ambapo pia amekutana na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan.

Rais wa Uturuki amempokea Akiko Mikasa mjini İstanbul.

Mwanamfalme  huyo wa Japan ataendelea na ziara yake nchini Uturuki  hadi itakapofika Septemba 14.Habari Zinazohusiana