Swali La Mwezi

Swali La Mwezi

Swali La Mwezi

Uturuki imesherehekea  miaka mingapi ya  siku kuu ya ushibdi Agosti 30 :

  1. 96
  2. 94
  3. 97 ?

Watu watatu wa kwanza watakao jibu vema watapewa zawadi nono kutoka katika makataba za Sauti ya Uturuki. Tunapokea majibu yenu hadi Septemba 30.

Tutumie jibu lako kupitia anauani ayetu ya baura pepe    swahili@trt.net.tr au  kupitia sanduku letu la posta

Sauti ya Uturuki Idhaa  ya Kiswahili : BP 333, 06443 YENİŞEHİR, ANKARA, Turkey.


Tagi: Uturuki

Habari Zinazohusiana