Maajabu: Paka 12 wahudhuria mazishi Lindi

Paka 12 wahudhuria mazishi Lindi

Maajabu: Paka 12 wahudhuria mazishi Lindi


Katika hali ya kustaajabisha na kushangaza, pakawapatao 12 waliibuka na kuhudhuria mazishi ya bwana Salehe  Matiko huko Chikalala mkoani Lindi nchini Tanzania. 


Bwana Matiko aliuawa kwa kupigwa na watu wasiojulikana ambao waliamini alikua mshirikina na mchawi akiwaua wenzake wengi. 


Wanakijiji hao waliamua kumpoteza bwana Matiko katika Ile hali ya kidai kuwa wamechoshwa na mateso anayowapa. 
Wakielekea makaburini kumzika Matiko, ghafla kundi la paka 12 liliibuka na kuwafuata watu hao hadi makaburini. 


Paka hao waliinamisha vichwa vyao wakati bwana Salehe akifukiwa kiasi kwamba wananchi walipatwa na wasiwasi. 
Paka hao waliendelea kubaki kaburini hapo hata baada ya mazishi kumalizika.



Habari Zinazohusiana