Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy atalii Uturuki

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy  atalii Uturuki akiwa pamoja na mkewe Carla Bruni

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy atalii Uturuki


Nicolas Sarkozy atalii nchini Uturuki akishirikiana na mkewe Bi Carla Bruni.

Sarkozy wamechagua kutembelea fukwe za Bodrum  nchini Uturuki  katika msimu wa kiangazi.

Bordum ni moja  miongoni ya vivutio kwa watalii kutoka katika miji tofauti.

Sarkozy amesafiri katika kiti cha abiria wa kawaida huku akiongea na wasafiri wengine katika ndege huku wakipiga picha.Habari Zinazohusiana