Shirika la İHH latoa zawadi ya sikukuu ya Eid al Ad ha kwa kaya zaidi ya milioni  2,3 ulimwenguni

Shirika la İHH la Uturuki lataoa  zawadi ya nyma kwa  kaya zaidi ya milioin 2,3  katika sikukuu ya Eid al Ad ha  ulimwenguni

Shirika la İHH latoa zawadi ya sikukuu ya Eid al Ad ha kwa kaya zaidi ya milioni  2,3 ulimwenguni


Shirika la kutoa misaada la Uturuki İHH  latoa zawadi ya nyma kwa kaya zaidi ya milioni 2,3 katika siku kuu ya  Eid al Ad ha. Zawadi hiyo imetolewa kwa mataifa takribani 103.

Msaada huo katika sikukuu ya Eid  umewalenga wakimbizi katika kambi tofauti, watu wasiokuwa na uwezo, waathirika wa majanga tofauti kama mafuriko na maporomoko ya ardhi na maeneo ya ghasia na mapigano.

Shirika hilo la Uturuki limetoa kipaumbele kwa mataifa mbayo  raia wake wapo katika madhila  kama Syria, Iraq, Maeneo ya wapalestina, Somalia, Yemen, Bangladesh, Myanmar na Xinchuang nchini China.Habari Zinazohusiana