Watalii watumia  chakula cha thamani ya dola bilioni 2,5  Uturuki

Watalii waliotembelea Uturuki kati ya  Januari na Juni mwaka 2018 wametumia chakula chenye thamani ya dola bilioni 2,5 Uturuki

Watalii watumia  chakula cha thamani ya dola bilioni 2,5  Uturuki

Watalii waliotembelea Uturuki kati ya  Januari na Juni mwaka 2018 wametumia chakula chenye thamani ya dola bilioni 2,5 Uturuki.

Watalii waliotembelea nchini Uturuki kuanzia Januari  hadi kufikia Juni mwaka 2018 wametumia chakula cha thamani ya dola  bilioni 2,5 wakiwa katika likizo na utalii nchini Uturuki.

Taarifa hiyo imetolewa na shirika la takwimu la Uturuki TUIK.

Shirika hilo limefahamisha kuwa wageni  takribani milioni 16 wametembelea Uturuki kati  ya  Januari na Juni mwaka 2018.


Tagi: TUIK , Uturuki , utalii

Habari Zinazohusiana