Wanawake watano kutoka Uturuki miongoni mwa warembo 100 ulimwwenguni

Wanawake watano warembo kutoka Uturuki miongoni mwa wanawake 100 warembo ulimwenguni

Tuba Buyukustun.jpg
Fahriye.jpg
miranda kerr.jpg
alexandra daddario.jpg
serenay-sarikaya

Wanawake watano warembo kutoka Uturuki miongoni mwa wanawake warembo 100 ulimwenguni kulingana na tovuti ya Top Beauty World Marekani.

Tovuti ya  Top Beauty World  imechaguwa wanawake warembo 100 ulimwenguni wakiwemo waturuki watano.

Katika orodha hiyo yumo  muigizaji Alexandra Daddario,  mwanamitindo Miranda Kerr na  Gigi Hadid.

Waigizaji watano kutoka Uturuki  Tuba Büyüküstün ameshika nafasi ya 17,  Meryem Uzerli nafasi ya 40,  Hazal Kaya nafasi ya 80 , Fahriye Evcen nafasi ya 84  na  Serenay Sarikaya nafasi ya 88.Habari Zinazohusiana