Ni ipi nafasi ya Magharibi?

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazid  kitengo cha  siasa Daktari Kudret BÜLBÜL  ametufafanulia

Ni ipi nafasi ya Magharibi?

 

Katika kipindi cha karne mbili zilizopia kumeshuhudiwa bila ya kipingamizi kuwa Magharibi imetaka  kubadilisha  baadhi ya jami ambazo hazikuwa na utamwaduni wa Magharibi kuwa na utamaduni kama utamaduni mwa Magharibi.  Hali hiyo imetokana na  Magharibi  kutaka kuwa na  umiliki na kuonesha kuwa utamaduni wake ndio utamaduni unaostahili. Jamii ambazo zimeipata katika  mtego huo  na makabiliano na Magharibi  yalilazimika  kufuata  mwenendo hu ona  kuchukuwa kama suluhu. 

Sasabu za jjamii zisizokuwa xza Maghaaribi haikuwa tu kutokana na  maendeleo Magharibi. Moja ya sababu kubwa ni jamii hizo kushindwa  kujiendelea chini ya misingi yake ya  kihistoria, utamaduni na ustaarabu wake . Jamii hizo zilishindwa kuondoa kile ambacho hakukubaliana na utamaduni wake  na kuweka silaha chini.

 Jamii hizo izlitakiwa kusimama kidete  na kuendelea katika malengo , kujifunzo ueleo  wa kihistoria  wa utamaduni wake  na kuwa na melengo ya kujiendeleza katika wakati ujao.

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazid  kitengo cha  siasa Daktari Kudret BÜLBÜL  ametufafanulia …

Utafiti katika jamiii utaendelea bila shaka. Jamii ambazo hazina utamaduni wa kimagharibi  zinaonekana kuwa utamaduni huo ndi o ambao umekşta mizizi yake. Huttuwezi kusema kuwa  kutatokea muamko . Licha uya kukabiliwa na hali hiyo jamii hizo zşnatakiwa  kuendelea na ushirikşano na  Mshariki Mgharibi Kusibi na Kasakzini. Ndivyo yalivyo maisha hauna masha bila ya ushirikinao. Hapo bila ya kufafanua  uamuzi wa kihistoria,  suala la kutaka kufahamu kuwa ni vipi jamii  aidha Magharibi  iilipatwa na  kiwi cha kutaka utamaduni wake kuwa  mfano na  saulai lingine ni  vipi utamduni wa Magharibi unachukuliwa na jamii zisizokuwa za kimagharibi.

Tamaduni kubwa kama usataaraba wa utamaduni wa kiislamu tunaweza kusema kuwa  umeanza muda  mchache uliopita. Ni utamduni ambao hauna kşfani  kwa mwangaza wake  kutokana na matokeo tofauti katika historia  kwa muda wa  karne nyingi . Uislamu uliishi katika jamii tofauti. Hadi sasa tunashuhudia kuwa utamaduni wa kiislamu una suluhu kwa kila jambo lkinalotokea katika jamii. Tatizo lolote linalojitokeza katika jamii hupatiwa ufumbuzi chini ya misingi ya uislamu.

Kwa uapnde mwingine wake uislamu ulipoingia  kama dini  haikuwa tu kama  jambo ambalo lilieneo bali  kama jambo ambalo lilikutwa tayari katika maisha  ya kila siku. Ni wmeendo upi  kwa jamii ambazo zisizokuwa na utamaduni usiokuwa wa Magharibi dhidi ya Magharibi wakati ambapo inaendelea  kutaka kuwa na ushawishi?

Kuna baadhi ya maswali ambayo yalikuwa na umuhimu hapo awali  kupatiwa majibu , vile vile hata leo bado yana umuhimu.  Katika kipindi cha karne mbili zilizopita, ushawishi wa Magharibi umeonekana kuwa na nafasi kubwa ulimwenguni kote. Vşle vile tunashuhudia kuwa  watu au jamii zisizokuwa na asili ya Magharini  zaidi ya milioni 10 ya watu  wanaishi Magharibi. Hali hiyo ni wazi kuwa kutakuwa na ushirikiano kitamaduni  na kushawishi  jamii zao kuwa na mwenendo  wa kimagharibi.

Magharibi  na siasa yake ya kutaka kuudhibiti ulimwengu kwa kushawishi una malengo ya kisiasa ambayo ni kumiliki na kushawishi kitamadduni kwa jamiii ambazo sio jamii za utamduni wa Magharibi.

 Watu kutoka katika jamii moja au nyingine ambao wanakabiliana na uvamizi kitamduni hujaribu  kuzuia ushawishi huo.

Kunaonekana watu ambao wa matumaini n'a mungu  n'a kuregemea Imani zao wakati ambapo wanakula wakiwa hawana suluhu wakiwa katika madhila n'a manyanyaso. Hali hiyo inapotokea watu wa kwanza kujaribu kukabiliana na çıkana ambao huwa msrari wa kwanza kuathirika.

Mauvu yanapotebdeka huwa maovu hayo yakitupiwa Wale ambao wanaondoka à Kuwa hawana mtetezi.

Ufafanuzi wa mtu kwa l'île ambacho ameoneqha kukipinga huwa kama silaha Kwa wale ambao hawakubaliani na mtazamo wake.

 

Kwa upande mwingine, katika kuchukuwa uamuzi dhidi ya unyama ni katika hali ya kukabiliana n'a uovu huo n'a baadhi hujiweka kandi y'a maisha. Ni vipi hufikia kuondoka au kuachana n'a ulimwunguni n'a  uhalisia au ukweli wake?

Kukabiliana na kila kinachopingwa ni ushirikiano n'a mbinu za ushirikiano.

Hali nyingine huzidisha zaidi kile ambacho huwa hakiwezekani.

Hali hiyo albayı huanzishwa kıla Mara huwa ikiungwa mkono n'a Wale wanampinga au wapinzani.

Ushirikiano baina y'a wahalifu n'a wapiganaji wa msalaba,  makundi y'a watu Wentz misimamo mikali n'a baadhi y'a madhila y'a upelelezi y'a magharibi ni moja y'a mifano j'ai katika sula hilo.

Kwa sasa tunahitaji makubaliano  kuhusu suala hilo kwa uaminifu na kutupilia mbali Fikri ambazo tunaona Kuwa tayari ushindi si wetu umepita kando kisaikolojia.

Pondu tunapokuwa tumejifunga katika fıkra artı wenyewe ndipo tunapozidi kupoteza nguvu za kupata suluhisho kwa Yale yanayotukabili.

Hicho basi kunatakiwa Kuwa umuhimu wa kiraka Kuwa na ushirikiano bora na pande zote  Kwa kuniamini bila y'a Kuwa n'a ushawishi wa kutenda jambo lisilofaa, matamshi yaliojawa n'a kumbe zisizojenga n'a kupoteza muda.

Kutokana n'a mtazamo huo, Tunatakiwa kuchukuwa suala hilo ufumbuzi wake Kwa kumchagua upande wako. Kuhusu Magharibi na sio dhidi ya Magharibi. 

Tunaweza kusema kuwa nenl "shida Magharibi" linamaanisha kupinga bila y'a kipingamizi suala ambalo litafuatiwa n'a n'a ubinafsi n'a kuondoka katika njia ambayo ulukuwa haina vizuizi.

Kutoka katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazid  kitengo cha  siasa Daktari Kudret BÜLBÜL  ametufafanuliaHabari Zinazohusiana