Waziri wa utalii wa Uturuki apongeza sekta ya utalii ya Uturuki

Waziri wa utalii wa Uturuki Numan Kurtulmuş apongeza ungezeko la kipato kutoka katika sekta ya uatlii nchini Uturuki

Waziri wa utalii wa Uturuki apongeza sekta ya utalii  ya Uturuki

Waziri wa utalii wa Uturuki Numan Kurtulmuş  asema kuwa kunatarajiwa kuzidi kuongezeka kwa kipato kutoka katika sekta ya utalii. Kiwango cha fedha katika sekta ya utalii Uturuki mwaka 2017 ilikuwa  dola biliaoni 26  na bilioni 32  mwaka 2018.

Kulingana na taarifa zizlitolewa na waziri wa utalii ni kwamba  idadi ya watalii katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2018 imevunja rikodi.

Hayoo waziri wa utalii wa Uturuki aliyazungumza akiwa  katika mkutano mjini Istanbul.  Data zizlitolewa  zimefahamisha kuwa watalii zaidi ya milioni 5,138 wametembelea Uturuki na kuvunja rikodi mabyo imeonesha kuwa  ni asilimia 35.

 Habari Zinazohusiana