Togo kuandaa tamasha la kwanza la filamu  za wanawake  mjini Lome

Tamasha la kwanza la filamu za wanawake kufanyika mjini Lome ifikapo  Machi

Togo kuandaa tamasha la kwanza la filamu  za wanawake  mjini Lome

Tamasha la kwanza la  filamu za wanawake kufanyika mjini Lome na kitongoji cha Agbodrafo  nchini Togp ifikapo Machi 10.

Tamasha hilo litachukuwa muda wa siko 10 na kumalizika Machi 20.  Taarifa kuhusu tamasha hilo imetolewa na mkurugenzi wa  shirikisho la kimataifa şa waingizaji PIAC Bi Christelle Mazahalo Esso.

Waigizaji kutoka katika mataifa ya bara şla Afrika na  wataarisha filamu kutoka katika mataifa tofauti kama  Marekani, Uingereza, Rwanda, Kongo, Gabon, Burkina Faso na Ufaransa watashiriki.Habari Zinazohusiana