Nyumba yajengwa juu chini ,chini juu

Nyumba imejengwa juu chini,chini juu mjini Ankara

Nyumba yajengwa juu chini ,chini juu

Nyumba imejengwa juu chini,chini juu mjini Ankara.

Kwa mujibu wa habari,mamia ya watu wamejikusanya kuitizama nyumba hiyo kwani ina muonekanao usio wa kawaida.

Nyumba hiyo imezinduliwa na mjasiriamali Mehmet Emin Görmez.

Vitu ndani ya nyumba hiyo kama mapazia,samani,jiko na kadhalika vinaonekana juu ya dari.

Nyumba kama hiyo iliwahi kuzinduliwa mjini Antalya mwaka 2015.


Tagi: Ankara , nyumba

Habari Zinazohusiana