Muda wa kuhalalisha mahusiano uliotolewa Burundi waelekea ukingoni

Muda wa kuhahalisha mahusiano uliotolewa na serikali ya Burundi waelekea ukingoni

Muda wa kuhalalisha mahusiano uliotolewa Burundi waelekea ukingoni

Muda uliotolewa wa kuhalalisha mahusiano na seriakli nchini Burundi waelekea kumalizika.

Seriakli ya Burundi iliwatolea witu watu wanaoishi pamoja kama wanandoa kuhalalisha mahusiano kabla ya mwaka 2017 kumalizika.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari nchini Burundi, msuada wa sheria kuhusu ndoa wa Mei umesainiwa na rais Pierre Nkurunziza.

Seriakali imesema kuwa sheria ni kwa lengo la kulinda utamaduni katika jamii na kumlinda mwanamke na watoto kuzaliwa nje ya ndoa.

Watoto wanaozaliwa nje ya ndoa wanajipata katika matatizo ya urithi katika familia.

Watu wanaoishi  kama wanandoa  wapewa muda wa kuhalalisha mahusiano yao kabla ya mwaka 2017 kumalizika.

Idadi ya watoto wanaozaliwa kabla na nje ya ndoa imeripotiwa kuongezeka nchini Burundi.Habari Zinazohusiana