Muigizaji nyota wa Bollywood Aamir Khan katika matembezi nchini Uturuki

Aamiri Khan, nyota muigizaji wa Bollywood kutoka India katika ziara yake nchini Uturuki

Muigizaji nyota wa Bollywood Aamir Khan katika matembezi nchini Uturuki

Aamiri Khan, nyota muigizaji wa Bollywood kutoka India katika ziara yake nchini Uturuki

Muigizaji nyota wa fialamu wa Bollywood kutoka India alipokelewa kwa shangwe katika uwanja wa ndege alipowasili  mjini Istanbul na ndege ya shirika la Turkish Airlines.

Aamir Khan amesema kuwa amefurahishwa kwa mapokezi aliopewa nchini Uturuki.

 Habari Zinazohusiana