Mambo ya Ughaibuni - magari ya kebu za juu na manzari za kuvutia

Mambo ya Ughaibuni - magari ya kebu za juu na manzari za kuvutia |

Mambo ya Ughaibuni - magari ya kebu za juu na manzari za kuvutia

 Moja ya kebu za juu ndefu kabisa duniani inapatikana Uturuki. Inawezesha watu kusafiri kutoka Bursa mpaka Uludağ umbali wa mita 8,840, huku wakifurahia manzari nzuri kabisa hasa katika msimu huu wa kipupwe ambapo uoto wa asili huonekana kwa rangi mbalimbali za kupendeza machoni.


Tagi: Manzariza kuvutia , Uludağ , Bursa , Kebu za juu