Erdoğan akutana na viongozi tofauti mjini Paris

Erdoğan akutana na viongozi tofauti mjini Paris |

Erdoğan akutana na viongozi tofauti mjini Paris

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan akutana na viongozi tofauti mjini Paris katika maadhimisho ya miaka 100 tangu  kusainiwa makubaliana ya kusitisha vita vya mwaka 1918.


Tagi: Paris , Uturuki , Ufaransa , Erdoğan