Nyota wa zamani wa kabumbu Diego Maredona afanyiwa upasuaji wa hernia

Nyota wa zamani wa kabumbu ulimwenguni Diego Maradona afanyiwa upasuaji wa hernia kwa mafaanikio

Nyota wa zamani wa kabumbu Diego Maredona afanyiwa upasuaji wa hernia

Nyota wa zamani wa kabumbu ulimwenguni Diego Maradona afanyiwa upasuaji wa hernia kwa mafaanikio.

Wakili mtetezi wa mcheza kabumbu mashuhuri ulİmwenguni  anaetambulika kwa jina la  Matias Morla ameandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa  Diego Maradona amefanyiwa upasuaji wa hernia na upasuaji huwa umefanyika salama.

Katika uumbe wake  huo  katika ukurasa wake wa Twitter, wakili wa Maradona ametoa shukrani kwa  muumba kwa kusema kuwa  upasuaji umefanyika salama na  nyota huyo wa kabumbu atasalia hospitali kwa ajili ya uchunguzi  zaid kabla ya kuruhusiwa kuondoka hospitali.

Maradona ana umri wa miaka 58.Habari Zinazohusiana