Msimu wa dirisha dogo la usajili katika soka

Dirisha dogo la usajili na uhamisho wa wachezaji katika soko limefunguliwa rasmi

Msimu wa dirisha dogo la usajili katika soka

 

Kipindi cha pili cha uhamisho na usajili wa wachezaji katika soka kijulikanacho kama "dirisha dogo" kimeanza rasmi.

Kwa mujibu wa FIFA kipindi cha dirisha dogo la usajili kitadumu kwa muda  wa wiki 4 (siku 28) na kitamalizika Januari 31 siku ya Alhamisi. 

Kwa mujibu wa maaumuzi yaliyofanya na baraza la uongozi la chama cha mpira wa miguu Uturuki, msimu wa kwanza wa usajili na uhamisho wa wachezaji  kwa 2018-2019 ulifanyika kati ya Juni 9 na Agust 31 mwaka 2018.

 Habari Zinazohusiana