Rais Erdoğan aifariji timu ya mpira ya walemavu nchini Uturuki

Rais wa Uturuki Reccep  Tayyip Erdoğan amesherehekea kufika kwa timu ya kabumbu ya walemavu ya Uturuki katika raundi ya pili ya mchezo huo.

Rais Erdoğan ameonekana akimfariji Osman Çakmak baada ya kukosa penalti.

"Msijali ipo siku tutakua mabingwa",aliongeza rais huyo.

 Habari Zinazohusiana