Uturuki yailaza Uswidi kwa magoli matatu kwa mbili (3-2)
Uturuki imeichapa Uswidi kwa magoli matatu kwa mawili katika mechi iliochezwa katika uga wa Friends Jumatatu

Uturuki imeichapa Uswidi kwa magoli matatu kwa mawili katika mechi iliochezwa katika uga wa Friends Jumatatu
Uswidi mezabwa mabao matatu na Uturuki katika mechi iliochezwa katika uga wa Friends Jumatatu usiku.
Kipindi cha kwanza cha mchezo kilimalizika kwa goli moja kwa sifuri ambalo lilifungwa na Isaac Kiese Thelin. Goli la Pili lililfungwa na Vik-tor Claesson katika kipindi cha pili cha mchezo baada ya mapumziko.
Uturuk ilizinduka baada ya muda na Hakan Çalhanoğlu ambae alifunga goli la kwanza .
Emre Akbaba alifunga magoli mawili na kuishinda Uswidi iliokuwa ikichezea nyumbani katika kundi B.