Michael Frey asaini mkataba wa miaka minne na timu ya Fenerbahçe ya Uturuki

Mshambuliaji matata  kutoka Uswisi Michael Frey amesaini mkataba wa miaka minne  na timu ya Fenerbahçe ya Uturuki

Michael Frey asaini mkataba wa miaka minne na timu ya Fenerbahçe ya Uturuki

 Mchezaji nyota kutoka Uswisi mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka minne na timu ya Fenerbahçe ya Uturuki .

Taarifa kuhusu mkataba huo imetolewa katika  tovuti ya timu ya Fenerbahçe .Habari Zinazohusiana