Timu ya Basketball ya Uturuki yashinda medali ya shaba katika mashindano ya U16 barani Ulaya

Timu ya basketball ya Uturuki yashinda medali ya shaba baada ya kuilaza timu ya Ufaransa katika mashindano ya Ulaya ya U16

Timu ya Basketball ya Uturuki yashinda medali ya  shaba katika mashindano ya U16 barani Ulaya

Timu ya basketball ya Uturuki yashinda medali ya shaba baada ya kuilaza timu ya Ufaransa katika mashindano ya Ulaya ya U16 yaliofanyika Novi  Sad Serbia.

Uturuki imecheza mechi yake ya mwisho  ya wanaume katika mashindano ya Basketball Ulaya U16 na kuichapa Ufaransa  katika kipindi cha kwanza 10 kwa 9 hadi kipindi cha pili kufikia 28 kwa 19.

Timu ya Uturuki imeshinda na kujinyakulia medali yake ya shaba kwa 82 kwa 59.

 Habari Zinazohusiana