Galatasaray yailaza Ankaragücü (3-1)

Timu ya Galatasaray yailaza Ankaragücü (3-1) katika mechi ya michuano ya Super Ligi ya Uturuki

Galatasaray yailaza Ankaragücü (3-1)

Timu ya Galatasaray yailaza Ankaragücü (3-1) katika mechi ya michuano ya Super Ligi ya Uturuki na kujipatia alama 3.

Timu ya Ankaragücü ikiwa haina alama hata moja.

Michuano ya Super Ligi ya Uturuki  msimu wa mwaka 2018-2019 imeanza hapo Ijumaa  ambapo timu ya Galatasaray imeanza kwa ushindi.

 

 

 Habari Zinazohusiana