Rais wa Uturuki ampongeza Ramil Guliyev kushinda mredali ya dhahabu Ujerumani

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ampongeza mwanadhiardha Ramil Guliyev kwa kushinda medali ya dhahabu katika mashindano barani Ulaya

erdoğan telefon.jpg
Remil.jpg

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ampongeza mwanariadha wa Uturuki Remil Guliyev kwa kushinda medali yake ya dhahabu katika mashindano ya riadha barani Ulaya.

Guliyev ameshinda mashindano ya mita 200 katika  mashindano hayo yaliofanyika mjini Berlin nchini Ujerumani.

Rais Erdoğan alimpigia simu Remil Guliyev  Alkhamis baada ya kuibuka mshinndi na kumpa pongezi.

Katika mazungumzo yao , rais Erdoğan amemtakia  maendeleo katika kitengo chake cha riadha.

 Habari Zinazohusiana