Mwanariadha wa Uturuki ashinda medali ya dhahabu katika mashaindano ya Ulaya

Ramil Guliyev, mwanariadha kutoka nchini Uturuki ashinda medali ya dhahabu katika mashindano ya riadha barani Ulaya

Mwanariadha wa Uturuki ashinda medali ya dhahabu katika mashaindano ya Ulaya

Ramil Guliyev  mwanariadha kutoka nchini Uturuki ashinda medali ya dhahabu katika mashindani  ya riadha barani Ulaya.

Mwanariadha huyo aliwahi kujishindia medali ya dhahabu  katika mashinndano ya kimataifa ya riadha yaliofanyika mjini London nchini Uingereza mwaka 2017.

Mwanariaddha huyo  kutoka Uturuki ameshinda meadali ya dhahabu katika  mashindano hayo ya barani Ulaya  ya mita 200.

Mashindano ya riadha yameandaliwa mjini Berlin nchini Ujerumani.

Mwanariadha huyo amevunja rikodi kwa sekunde 19,76 huku mwanariadha kutoka Uingereza Nethaneel Mitchell-Blake akishika nafasi ya pili akifuatiwa nafasi ya tatu na Alex Wilson.Habari Zinazohusiana