Mwanariadha wa Uturuki ashinda medali ya shaba katika mashindano ya Ulaya

Jak Ali Harvey  mwanariadha wa Uturuki mwenye asili ya Jamaica ashinda medali ya shaba katika mashindano ya riadha ya Ulaya

Mwanariadha wa Uturuki ashinda medali ya shaba katika  mashindano ya Ulaya

Jak Ali Harvey  mwanariadha wa Uturuki mwenye asili ya Jamaica ashinda medali ya shaba katika mashindano ya riadha ya Ulaya mita 100. Mashindano hayo yameandaliwa mjini Berlin nchini Ujerumani.

Jak Ali ameshinda medali yake hiyo ya shaba akiwa mshinda nafasi ya tatu Jumanne mjini Berlin.

Mwanariadha wa Uingereza kwa jina la Zharnel Hughes ameshinda nafasi ya kwanza akifuatia nafasi ya pili na Reece Prescod.

Jak Ali Harvey  alishinda medali ya  fedha   mwaka 2016 katika mashindano yaliofanyika mjini Amsterdam.

 Habari Zinazohusiana