Kylian Mbappe bora mwenye umri mdogo katika kombe la dunia Urusi

Mchezaji nyota wa Ufaransa Kylian Mbappe  amechaguliwa kuwa mchezaji  bora mwenye umri mdogo  katika michuano ya kombe la dunia Urusi

Kylian Mbappe bora mwenye umri mdogo katika kombe la dunia Urusi

 

Mchezaji nyota wa kabumbu  wa Ufaransa Kylian Mbappe amechaguliwa kuwa mchezaji bora mwenye umri mdogo katika michuano ya kombe la dunia iliokuwa ikiendelea nchini Urusi mwaka 2018.

Mbappe ameifungia timu yake ya  Ufaransa  bao lake la nne a na kujipatia ushindi  dhidi Croatia katika mechi ya fainali Jumapili nchini Urusi.

Mbappe ana umri wa miaka 19. Amezaliwa  Disemba  20 mwaka 1998 Bondy nchini Ufaransa .

Wazazi wake ni Fayza Lamari na Wilfried  Mbappe.Habari Zinazohusiana