Fenerbahçe Doğuş yashinda kombe la Uturuki

Timu ya basketball ya Fenerbahce Doğuş yashinda kombe la Uturuki kmwa kuichapa timu ya TOFAŞ

Fenerbahçe Doğuş yashinda kombe la Uturuki

Timu ya basketball ya Fenerbahce Doğuş   yashinda kombe la   Uturuki kmwa kuichapa timu ya TOFAŞ. 

Timu ya basketball ya Fenerbahçe ameshinda kombe la Uturuki baada ya kualaza timu ya TOFAŞ   katika  michuano ya kombe la Uturuki.

Timu ya Istanbul Fenerbahçe imeilaza timu ya  Bursa  TOFAŞ  katika mechi hiyo ya mzunguko wa mwisho iliochezwa  hapo jana.

Ushindi huo kwa  Fernebahçe  ni ushindi wa  nne kwa timu hiyo kuchukuwa kombe la Uturuki.Habari Zinazohusiana